REPORT FOR ZIMBABWE MEETING
MTANDAO WA VIKUNDI VYA WAKULIMA
TANZANIA
MVIWATA – KAGERA
S.L.P
80
MULEBA- KAGERA- TANZANIA
Simu: +255 788 685 818/ +255 752 751
074
TAARIFA
YA MKUTANO MKUU LA VIA CAMPESINA ULIOFANYIKA SHASHE ZIMBABWE TAREHE 09-10
SEPTEMBA 2014
Washiriki
wa Mkutano Mkuu wa La Via Campesina Shashe Zimbabwe
1.0
Utangulizi
Mkutano wa Nchi wanachama Via Campesina
Kanda ya Kwanza uliofanyika Zimbabwe katika kijiji cha Shashe MVIWATA
iliwakilishwa na Ndg. Projestus Ishekanyoro Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi
MVIWATA Taifa. Mkutano hou ulikuwa wa kujenga na kuimarisha umoja wa Via
Campesin na wanachama kwa ujumla kuwa na sauti moja juu usalama wa chakula
(FIGHT FOR FOOD SOVEREIGNTY IN AFRICA 1) na mabadiliko ya tabia nchi kama
ifuatavyo.
2.0
Ajenda za Mkutano
2.1 Upatikanaji wa
Maliasili (Access to Natural Resources)
·
Maji
·
Misitu
·
Ardhi
2.2
Haki za Binadamu (Human Rights)
·
Unyanyasaji
wa wanawake
·
Haki za
wazawa
·
Migogoro
ya kivita
·
Uhamaji
hasa maeneo ya vijijini
·
Vijana
2.3
Kilimo hai (Agroecology) kama
·
Mbegu
·
Masoko
bora
·
Kulinda
vyanza asili na kuviendeleza
·
Miundombinu
·
Mabadiliko
ya tabia nchi
2.4
Sera za Umma (Public Policies)
·
Mkataba
wa Maputo
·
Vita
dhidi ya rushwa
·
Uvamizi
wa masoko
·
Utegemezi
wa nje
2.5
Kuimarisha Taasisi (Institution
Strenghtening)
·
Taasisi
endelevu
·
Utafiti
na taarifa
·
Mawasiliano
·
Ujinga
(Wanawake)
·
UKIMWI,
Malaria na Marale
·
Fursa
katika taasisi binafsi
3.0
UZOEFU KUTOKA KILA NCHI MWANACHAMA
Kila mjumbe mjumbe kutoka kila nchi
mwanachama walitoa uzoefu wao ambapo kwa upande wa MVIWATA nilitoa uzoefu
kulingana na hayo yaliyotajwa hapo juu kama ifuatavyo:-
“……………..
1. Political
Context
Political
as a global concern has much influence on development of agriculture.
Currently; Farmers are fully involved on decision for various agenda of the
country. For example MVIWATA has two representatives (WOMEN) in the National
Parliament for New Constitution Amendment of our country.
2.
For last year, MVIWATA has taken interventions related to FIGHT FOR FOOD SEVEREINTY IN AFRICA by fully participating in
various events and campaigns with the country, Africa and world in general. At
moment efforts has been put on Lobbying
and Advocating small farmers to practice production based on local crops.
3.
MVIWATA is acknowledging efforts done by the region to improve Agriculture in
Africa so that we are able to compete in the World. Good example, this meeting
has much to influence our partnership for present and future development.
4.
MVIWATA is among other organizations that attempts to address threatening issue
in the region such as Extreme Poverty,
HIV/AIDS, Violence against Women, Global Climatic Change and Human Rights few to
mention. All of these have been
strategically put on our focus for the upcoming 1 to 3 years.
5.
To conclude, MVIWATA’s main activities for the next year (2014/2015) are based
on Lobbying and Advocacy on issues
like:-
·
Human Rights
·
Environmental Concern
·
HIV∕AIDS Campaigns
·
Markets for Small Holder Farmers Products
·
Organic Farming
·
Strengthening SACCOS and Banking
Association
·
Strengthen MVIWATA reach large
population in the country…………”
4.0 MAJADILIANO NA MAAMUZI YALIYOFIKIWA
Ø Kuzuia mfumo wa kidunia juu ya maamuzi
katika kilimo, ubinadamu na ulimwengu kwa ujumla. Hii ni pamoja na jitihada
katika kuhakikisha jamii zinashiriki zaidi katika kuboresha na kukuza shughili
za uzalishaji kuendana na mazingira na tamaduni zao huku ikizingatiwa mazingira
yanakuwa endelevu. Mfano ni kampeni dhidi ya Biashara huria, Utandawazi,
Mogogoro ya kivita na uvujaji wa mariasili.
Ø Kuwa na uhuru katika njia mbadala za
upatikanaji wa chakula kupitia kilimo cha kijani, mbegu asilia na kuilinda
ikolojia asili. Pia kupiga vita muungano wa mapindizi ya kijani Afrika (AGRA)
na muungano wa mataifa makubwa (G8 New Allience for Food Security and
Nutrition).
Ø Kuwashirikisha zaidi vijana na wanawake
katika harakati za mabadiliko kwa kuweka upana zaidi wa maamumuzi katika ngazi zote.
Ø Kuimarisha La Via Campesina kama chombo
kinachokua na kuendeleza mapoambano
kupitia uboreshwaji wa mbinu za mawasiliano, utafiti na mafunzo ili
kuchambua, kutathmini na hatimaye kuwa na mbinu mpya za kiutendaji na kutambua
kuwa uzoefu kutoka La Via Campesina ni suala la kipaumbele.
Ø Kuimarisha ushirikiano miongoni mwa
warishirika na taasisi mbalimbali za kidunia zenye mtazamo na malengo sawia
katika kampeni zinazoratibiwa na La Via Campesina.
Hata hivyo katika
mkutano huo iliazimiwa kuwa nguvu kubwa itawekwa katika mambo yafuatayo:
i.
Kapeni
dhidi ya unyanyasaji wa wanawake (The “End Violence against Women Campaign).
ii.
Kampeni
ya kidunia juu ya kilimo asilia (Agrarian Reform)
iii.
Kampeni
juu ya mbegu asilia, urithi wa mira na desturi (Seeds, Heritage of the People
for the Good of Humanity Campaign)
iv.
Kuzindua
kampeni dhidi ya madawa ya viwandani (Campain against Tox Agro chemicals) katika ngazi ya kimataifa
tarehe 3 Desemba vijijini na mijini.
5.0
HITIMISHO
Ili kufanikisha mikakati iliyokubalika
katika mkutano huu kila taasisi mwanachama alipewa jukumu la kuandaa Mapendekezo
na kuyatuma La Via Campesina ndani ya wiki mbili ambapo MVIWATA Tanzania
ilipewa kuandaa mapendekezo juu ya Kujenga Uwezo wa Kitaasisi (Institutional
Strenghtening). Pia ilitolewa ratiba ya kazi kwa shughuli zitakazofanyika
Oktoba na Novemba mwaka 2014. Vile vile mkutano ulilidhia MVIWATA kuandaa
Mkutano wa Kanda (Regional Meeting 1) mwezi Aprili 2015.
Baadaye tulipata fursa ya kutembelea
vikundi vya Wanachama wa ZIMSOFF kujionea kilimo hai.
Comments
Post a Comment