MVIWATA REPORTS
Mtandao wa
Vikundi vya Wakulima Tanzania
(Network of Farmers’ Groups in Tanzania)
P.
O. Box 80 Muleba - Kagera
Taarifa
ya Utekelezaji Shughuli za MVIWATA Kagera kwa kipindi cha Miezi Mitatu kuanzia
Januari hadi Machi 2015
1. Utangulizi
Hii ni taarifa ya
shughuli za MVIWATA Kagera za miezi mitatu, Januari hadi Machi 2015. Taarifa
hii inawasilishwa kwa njia ya jedwali lililopo hapa chini. Kwa ujumla shughuli
hizi zinafuata Mpango Mkakati wa MVIWATA wa 2010 – 2014 na pia Mpango Kazi wa
MVIWATA Kagera Januari – Disemba 2015.
Mkakati
1: Kuimarisha vikundi na mitandao ya
wakulima kwa lengo la kuwawezesha kujipanga na kujitetea.
|
Shughuli iliyopangwa
|
Hali
ya Utekelezaji
|
Matokeo
|
|
1.
Kuimarisha mitandao ya msingi na vikundi ili
kuweza kutoa huduma kwa wanachama.
|
Katika kipindi
cha Jananuari-March 2015, shughuli kuu iliyofanyika ni kuhamasisha
uanzishwaji vikundi, mikutano mikuu ya mitandao ya misingi na vikundi na
kuimalisha mitando iliyopo.
![]()
Kikundi cha AMANI Muhutwe
|
Mitandao ya
msingi mitano imefikiwa na
nakufikia wanachama 106 (ME 61 KE 45) kati
yao wanachama wapya ni 22 (ME 14 KE 8) kama ifuatavyo:-Buganguzi (ME 7), Gwanseli
42, KE 16 ME 26 Muhutwe 11 ME 3 KE 8, Kashasha 28 KE 11 ME 17 na Mubunda 18
KE 10 ME 8.
|
|
2.
Kuada na kutoa mafunzo kwa viongozi wa mitandao na
vikundi ngazi ya kati.
|
Hajafanyika
|
|
|
3.
Kuandaa taarifa za wanachama, ulipaji wa ada za
vikundi na kubaini wanachama wapya.
|
Kufikia tarehe
30/3/2015 tumefikia wanachama 925 wenye kadi za MVIWATA na wanachama wanufaikaji
2323 jumla 3248, vikundi 127 na mitandao 36.
|
Kupata
wanachama wapya – vikundi 7, wanachama 22 na vikundi
7 kulipia ada ya mwaka 2015.
(orodha ya vikundi vipya na majina ya
wanachama na vikundi vilivyo lipa ada imeambatanishw
|
Matarajio: Kuhakikisha kuwepo Vikundi na Mitandao
Imara ya Wakulima ambayo Inawajibika katika kutekeleza majukumu yao
Mkakati 2: Ushawishi na Utetezi: kuwezesha wakulima
wadogo kuwa na uwezo wa kushawishi na kutetea maslahi yao na kuongeza ushiriki
na ushikishwaji wao katika masuala ya kijamii, kiuchumi na kisiasa katika ngazi
ya msingi, kitaifa na kimataifa.
Tarajio
1: Kuwepo mkakati wa Ushawishi na
Utetezi wa MVIWATA Kagera.
|
1.
Kufanya tafiti mbalimbali juu ya masuala
yanayogusa masilahi ya mkulima mdogo na kutoa matokeo.
|
·
Kukutana na watafiti wa mazao ya kilimo ili kujua
chanzo cha ugonjwa wa Mnyauko wa migomba na kuutafutia ufumbuzi – ilionekana
ni ugonjwa wa bacteria isiyotibika
inayoenea kwa njia ya hewa.
·
Kufanyika kwa utafiti wa kushuka kwa zao la kahawa
uliofanywa na watafiti kutoka SUA Morogoro Dr. Fatihiya Masawe na Ndg, Rogers
Andrew kwa kushirikiana na MVIWATA
Taifa.
|
Sheria
ya ukandishaji wa mashamba imetumika kwa kila mkulima kukata mgomba
ulioathirika na kwa sasa ungonjwa wa myauko unaendelea kupungua.
|
Tarajio 2: MVIWATA inatambulika vizuri kama taasisi yenye
uwezo na nguvu kufanya ushawishi na utetezi kwa masilahi ya wakulima wadogo.
|
1.
Kuandaa na kuwezesha mafunzo ya kujenga uelewa wa
wakulima juu masuala yanayoathiri ustawi wa wakulima wadogo.
|
Kamati ya PETS
ya wilaya na Madiwani wa kata tano kushiriki mdahalo wa wa kitaifa juu ya
Azimio la Umoja wa Afrika kuhusu kuwekezaji wa kilimo na usalama wa chakula lililoyofanyika
Dar es salaam tarehe 28/2/2015 kwa ushirikiano wa ESAFF
![]()
Anayechangia ni
Mhe. Diwani Kata Mubunda Ndg. Kalinjuma. A. Kamili
|
Kamati ya pets
15 Me8 Ke7 na madiwani 5 (ME) kutoka Wilaya Muleba, kujua azimio la Maputo/Malabo
juu ya utekelezaji wa bajeti ya kilimo kufikia 10%.
![]()
Ndg.
Projestus Ishekanyoro akiwasilisha mada ya fursa na vikwazo katika
utekelezaji wa PETS Muleba
|
|
2.
Kuwezesha mafunzo ya kujengea uwezo viongozi wa
vikundi na mitandao juu ya dhana ya ushawishi na utetezi ili kujenga hadhi ya
taasisi ya MVIWATA Kagera.
|
Haijafanyika
|
|
Tarajio
3: Kuimarisha mawasiliano na upashanaji
habari ndani na nje ya MVIWATA Kagera.
|
1.
Kusambaza majalida na machapisho mbalimbali ya
MVIWATA hasa gazeti la pambazuko, taarifa za kila mwezi yanayohusu shughuli
za shirika.
|
Mauzo
ya jarida la pambazuko toleo no.042 hamsini yameuzwa.
|
Mauzo
majarida Tshs 50,000/= imepokelewa
|
|
Taarifa
ya utekelezaji wa shughuli za MVIWATA Kagera 2014 imetolewa.
|
Tarifa
imepokelewa na MVIWATA Taifa, Halmashauri za Wilaya Muleba na Misenyi, Mkuu
wa Wilaya Muleba na Afisa Tawala wa Mkoa.
|
Mkakati 3: Kuimarisha uwezo wa kiuchumi kwa lengo la
kuwezesha wakulima wadogo kuwa na uwezo
wa kiuchumi kupitia njia za akiba na mikopo, kuwaunganisha na masoko kwa
kuwapatioa elimu ya ujasiriamali ili kupunguza umasikini.
Tarajio:1 Kuboresha mifumo ya masoko kwa ajili ya
wakulima wadogo.
|
Shughuli
iliyopangwa
|
Shughuli
zilizotekelezwa
|
Matokeo
|
|
Kufanyika
ushawishi juu ya masoko ya zao la Ndizi na Kahawa.
|
Kupitia vikao vya watoa maamuzi kuelezea tatizo
ukosefu wa masoko ya wazalishajiwadogo.
![]()
Kikao cha baraza la Madiwani Muleba
|
Ujenzi
wa soko la Ndizi Muleba mjini
unaendelea.
Serikali
imeunda timu ya utafiti wa soko la kahawa na kutoa vibali kwa wanunuzi
binafsi.
|
Tarajio 2: Uwezo wa wakulima umeongezeka katika huduma za
kuweka nakukopa kupitia vyombo vyakuweka na kukopa.
|
Kuwezesha
mafunzo juu ya faida za kuweka na kukopa na mbinu za uanzishwaji na
uimalishaji vyombo vya kuweka na kukopa.
|
Mafunzo
ya waweka hazina wa SACCOS yaliyoandaliwa Halmashauri ya wilaya Muleba tarehe
10 – 14/02/2015, Waweka Hazina wa SACCOS za wanachama MVIWATA tano walishiriki
kwa siku nne.
Mafunzo
ya Dhana ya VICOBA yaliyofanyika Mwanza tarehe 23-27/03/2015, viongozi wa
SACCOS za MVIWATA Watatu wameshiriki.
![]()
Bi.
Jovitha kushoto na washiriki wengine katika mafunzo ya Waweka Hazina wa
SACCOS
|
Muleba Farmers Network SACCOS imepata cheti safi
cha ukaguzi.
|
Mkakati 4: Masuala mtambuka kwa kujenga uelewa wa wakulima
wadogo juu ya athari za UKIMWI, jinsia na mabadiliko ya tabia Nchi, na mwisho
ujenzi wa kitaasisi kwa lengo la kuimarisha shirika la MVIWATA Kagera.
Tarajio 1: Masuala ya VVU/UKIMWI yameingizwa katika
mipango ya MVIWATA na kuna uelewa wa
kutosha kwa kwa wanachama, viongozi na watumishi.
|
1. Kutoa mafunzo na uhamasishaji juu
wa wakulima kujikinga na VVU na kuwauganisha wakulima taasisi wa zinazotoa
huduma ya upimaji.
|
Haikufanyika
|
|
Tarajio2: Masuala kuhifadhi misitu ili kupambana na
mabadiliko ya Tabia Nchi.
|
1.Kubaini
na kutenga hifadhi ya mistu jamii katika
maeneo ya serikali za vijiji.
|
Kusajili
mstu jamii Nyakabango na kuunda kamati ya hifadhi mistu na kupisha sheria
ndogo ndogo za vijiji.
|
Usajili
na sheria ya kuhifadhi umepatikana
kutoka kwa Halmashauri ya wilaya Muleba.
|
Mkakati
5:ujenzi wa shirika Kitaasisi:
|
1. Kufanya vikao
vya kikatiba kwa kamati ya uongozi,kamati za PETS na kikao cha mapromota.
|
Kikao
kimoja cha kamati ya Uongozi kimefanyika tarehe 7/1/2015.
|
Ø Kupitisha
mpango kazi na bajeti wa mwaka 2015
Ø
Kuandaa mpango kazi na bajeti wa miezi mitatu
Ø
Kukagua na kuona mapato na matumizi ya mwaka 2014
|
|
|
Kikao
cha kamati ya PETS kimefanyika
|
Ø
Kukusanya taarifa za PETS kutoka kata tano.
Ø
Kuandaa watakao shiriki kongamano la PETS Dar es
saalam.
Ø
Kuandaa mpango kazi na bajeti wa PETS Jan –March 2015
|
|
2.Usimamizi na uendeshaji wa ofisi
|
·
Kupokea ada za vikundi Tshs 240,000/=
·
Kupokea viingilio vya wanachama wapyaTshs 40,000/=
·
Ulipaji wa gharama za uendeshaji wa ofisi
|
·
Malipo ya 30% za ada Tshs 24,000/=
·
Computer ANTIVIRUS DESK TOP and LAPTOP Tshs
40,000/=
·
Ulipaji wa pango la ofisi Jan- march 2015 Tshs
180,000/=
·
Ununuzi wa kadi za wanachama Tshs 20,000/=
|
|
Jina la Kikundi
|
Mtandao
|
Stakabadhi Namba
|
Kiasi
|
|
KAMWEKA
|
Muhutwe
|
9018
|
20,000/=
|
|
MKOMBOZI
|
Nyakabango
|
9025
|
20,000/=
|
|
Muleba Farmers Network SACCOS
|
Muleba
|
9026
|
20,000/=
|
|
Twambangane
|
Mubunda
|
9028
|
20,000/=
|
|
AMANI
|
Ngara
|
9031
|
20,000/=
|
|
Abemahamo
|
Muhutwe
|
9032
|
20,000/=
|
|
|
|
|
|
Kiambatanisho A: Orodha
ya Vikundi vilivyolipa ada mwaka 2015
Kiambatanisho B: Orodha
ya Vikundi Vipya mwaka 2015
|
Majina ya
Wanachama
|
Namba ya
Kadi
|
Jina la
Kikundi
|
Mtandao
|
STK Na
|
Kiasi
|
|
1. Godfrey Mwesiga
|
|
Muleba Youth Development Association
|
Muleba
|
9017
|
20,000/=
|
|
2. Gaston George
|
|
||||
|
3.Ishengoma
Rweyongeza
|
|
||||
|
4.
|
|
||||
|
5.
|
|
||||
|
1. Arodia Izidory
|
|
TWEYAMBE
|
Muhutwe
|
9019
|
20,000/=
|
|
2. Yoranda Angelo
|
|
||||
|
3. Dionisia Johanes
|
|
||||
|
4. Plakisidia Gradius
|
|
||||
|
5. Oliver Stansialus
|
|
||||
|
1.
|
|
Buganguzi Development Association
|
Buganguzi
|
9020
|
20,000/=
|
|
2.
|
|
||||
|
3.
|
|
||||
|
4.
|
|
||||
|
5.
|
|
||||
|
6.
|
|
||||
|
7.
|
|
||||
|
|
|
Obumo- IBARE
|
Ijumbi
|
9023
|
20,000/=
|
|
|
|
||||
|
|
|
||||
|
|
|
||||
|
|
|
||||
|
|
|
SUBIRA
|
Nyakabango
|
9024
|
20,000/=
|
|
|
|
||||
|
|
|
||||
|
|
|
||||
|
|
|
||||
|
|
|
||||
|
1.
2.
3.
4.
5.
|
|
UPENDO
|
Bukoba Mjini
|
9029
|
20,000/=
|
|
1.
2.
3.
4.
5.
|
|
BAZAA
|
Bukoba Mjini
|
9030
|
20,000/=
|
Kiambatanisho C: Orodha ya Wanachama wapya ndani ya orodha ya zamani
|
Majina ya
Wanachama
|
Namba ya
Kadi
|
Jina la
Kikundi
|
Mtandao
|
STK Na
|
Kiasi
|
|
Verediana Archard
|
|
TUINUANE
|
Mubunda
|
9021
|
5,000/=
|
|
Theofiliana Pantaleo
|
|
TUINUANE
|
Mubunda
|
9022
|
5,000/=
|
|
Restuta Stephano
|
|
JITEGEMEE
|
Kimwani
|
9027
|
5,000/=
|
|
|
|
|
|
|
|





Comments
Post a Comment